Wanafunzi wa shule ya Zingiziwa wa kiwa darasani wakati wakipindi, wanafunzi hao walikua na furaha sana kuona wandishi wa habari wakiwatembelea shuleni kwao, wanafunzi hao walielezea matatizo yao kwa wana habari, wakisema wana omba serikari na wote wadau wa elimu kuwasaidia kwa kuwawekewa usafiri kwa sababu hadi leo usafiri nishisha sana, pia wanafunzi ho walisema kipindi hiki ambapo tekinolojia inakwenda mbali wameomba kuwezesha shule yao na komputa ili nawo wawe wanaendana na wakati na bamabadiliko.
Hapa wanafunzi wakiwa wakisikiliza kwa makini maelezo kutoka kwa mwalimu,
Mda wa mapunziko wanafunzi wakiwa wakibadilishana wazo juu ya somo walilo kua wakifundishwa
Wanafunzi wa shule ya zingiziwa pia wana omba vifa va michezo kama mipira, nyavu, "Tunapenda sana michezo ila tunashindwa kuendeleza vipaji vyetu kwa sababu hatuna vifa ambavo vingetusaidia sisi kuendeleza vipaji vyetu"alisema mwanafunzi moja Zainabu. Unaweza kuona mazingira ya shule yalivyo.
Kutokana naugumu wa maisha kifedha hali inakua ngumu kwa wanafunzi wengine kulazimika kwenda shule pekupeku yani bila viatu kama unavowaona bahadhi ya picha., katika elimu hiyo inaweza kurudisha nyuma elimu kwa wanafunzi wengine. musahada wa hali na mali unatakiwa kwa wanafunzi kama hao ili wawe sawa na wenzio,



