Badhi ya viongozi wa selikari ya mtaa -ZINGIZIWA
wakipiga picha ya pamoja inje ya ofisi yao katika maandalizi ya mwaka mpya
Viwongozi wa Selikari ya mtaa -ZINGIZIWA wakiwa katika semina elekezi ya kuchangia utowaji wa maoni ya katiba mpya-Ikiongozwa na Mwenyekiti Wawo Mh: Mohammad Kilungi.
Wajumbe wa Selikari ya mtaa -ZINGIZIWA wakipitia katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania, khabla ya utowaji wa maoni utakaofanyika tarehe 11/12/2012.
Mwenyekiti wa Selikari ya mtaa -ZINGIZIWA
Akifafanua jambo kwenye semia elekezi yautowaji wa maoni undwaji wakatiba mpya semina hiyo elekezi ilifanyia kwenye ofisi ya mtaa-Zingiziwa.
Baada semina kuisha wajumbe walionesha ishara ya mushika mano akiwepo na Muganga Mufawidhi wa zahanati ya Zingiziwa mwenye fulana nyeusi
ZINGIZIWA VILLAGE - DAR ES SALAAM-TANZANIA
KARIBU KATIKA BLOG YA ZINGIZIWA WELCOME TO ZINGIWA BLOG This Blog is all about Zingiziwa Village a village which is found in tanzania a place called chanika about five kilometers from Dar es salaam city. +25578295833/+255715295833/ +25568559250
Tuesday, December 4, 2012
Saturday, October 27, 2012
MAJAMBAZI WAVAMIA KIJIJI CHA ZINGIZIWA
Majambazi wanaosadikia kua na sila za moto walivamia kijiji caha Zingiziwa kilichopo Chanika jijini dar es salaam tanzania majambazi hao walipola fedha na vitu khadha, kwamujibu wa mwenyekiti wa serikari za mitaa Ndugu Mohamedi Hassani Kilungi akizungumuza na wandishi wahabari kijijini humo alisema majambazi hao wa limupiga lisasi mtu moja, nakuwajehuri wengine wa wili kwakuwakata na mapanga.
Hata hivo Kilungi alishukuru jeshi lapolisi kwa kukufika mapema kwenye tukio ata kama majambazi hao hawakupatikana, na bado polisi wanaendelea na musako mkali kwakushilikiana na wana kijiji hao pamoja na polisi jami.
Mwenyekiti huo ali wasihi wana kijiji kuwa na mushikamano na kuwatambulisha wageni wote katika wajumbe wa nyumba kumi pia na kwasilikali za mitaa
Friday, October 19, 2012
SHULE YA MSINGI ZINGIZIWA
Wanafunzi wa shule ya Zingiziwa wa kiwa darasani wakati wakipindi, wanafunzi hao walikua na furaha sana kuona wandishi wa habari wakiwatembelea shuleni kwao, wanafunzi hao walielezea matatizo yao kwa wana habari, wakisema wana omba serikari na wote wadau wa elimu kuwasaidia kwa kuwawekewa usafiri kwa sababu hadi leo usafiri nishisha sana, pia wanafunzi ho walisema kipindi hiki ambapo tekinolojia inakwenda mbali wameomba kuwezesha shule yao na komputa ili nawo wawe wanaendana na wakati na bamabadiliko.
Hapa wanafunzi wakiwa wakisikiliza kwa makini maelezo kutoka kwa mwalimu,
Mda wa mapunziko wanafunzi wakiwa wakibadilishana wazo juu ya somo walilo kua wakifundishwa
Wanafunzi wa shule ya zingiziwa pia wana omba vifa va michezo kama mipira, nyavu, "Tunapenda sana michezo ila tunashindwa kuendeleza vipaji vyetu kwa sababu hatuna vifa ambavo vingetusaidia sisi kuendeleza vipaji vyetu"alisema mwanafunzi moja Zainabu. Unaweza kuona mazingira ya shule yalivyo.
Kutokana naugumu wa maisha kifedha hali inakua ngumu kwa wanafunzi wengine kulazimika kwenda shule pekupeku yani bila viatu kama unavowaona bahadhi ya picha., katika elimu hiyo inaweza kurudisha nyuma elimu kwa wanafunzi wengine. musahada wa hali na mali unatakiwa kwa wanafunzi kama hao ili wawe sawa na wenzio,
Thursday, October 18, 2012
MAJAMBAZI WA VAMIA KANISA
KUNDI la watu wanaodhanikiwa kuwa ni majambazi wenye mapanga, marungu na nondo wamevamia Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Usharika wa Yombo Kuu na kumjeruhi vibaya mlinzi wa kanisa hilo.
Mmoja wa walinzi wa kanisa hilo Richard Lameck ambaye alikuwa na mjeruhiwa aliliambia wa andishi wa habari Dar es Salaam jana kuwa majambazi hao walivamia kanisa hilo saa 8:30 usiku wa kuamkia jana.
Alisema majambazi wanane walifanikiwa kuingia ndani ya kanisa hilo kwa kuruka ukuta na kisha kumjeruhi mwenzake huyo kwa kutumia nondo na hivyo kumsababisha majeraha kichwani na mkononi yalisababisha avuje damu nyingi.
Hata hivyo alisema kulikuwa na kila dalili ya kuwepo majambazi wengine nje ambao walikuwa wakisikilizia kinachoendelea kwa wenzao walioingia.
Lameck alifafanua kuwa tofauti na mambazi wengine hawa baada ya kuingia walikuwa wakielekea moja kwa moja katika eneo la madhabahu ambapo hata mwenzake huyo alijeruhiwa akiwa ndani ya kanisa hilo linaloendelea kujengwa.
Akizungumizia tukio hilo Mchungaji Kiongozi wa Kanisa hilo Joshua Jaha alisema haamini moja kwa moja kama watu hao ni majambazi kwa kuwa wangeiba mali ya kanisa hilo badala yake waliekea madhabahuni.
Alisema hata hivyo hawajui eneo hilo wangeenda kufanya nini kwa kuwa hawakuweza kulifikia baada ya mlinzi Lameck kufanikiwa kwenda eneo ilipo kengele na kugonja na hivyo kuwaogopesha na kuwafanya watimue mbio.
Alisema kutokana na tukio kama hilo kutokea katika kanisa lao lililoko Mbahgala wiki iliyopita anafikiri kuwa lina sura ya udini.
Alifafanua kuwa alipigiwa siku usio huo na kufika kanisa hapo saa 11 alfajiri ambapo alikuta damu zimetapakaa ndani ya kanisa hilo huku mlinzi alinusurika akimweleza kuwa zimtoka baada ya mwenzake kujeruhiwa.
Alisema alikimbizwa katika Hospitali ya Amani ambapo alishonwa nyuzi nne eneo la kichwani na tiba katika mkono ambao nao alijeruhiwa.
Alifafanua kuwa hali ya majeruhi inaendelea vizuri.
Ametoa mwito kwa viongozi wa makanisa kuimarisha ulinzi hasa katika wakati huu ambapo kuna matishio lakini kikubwa kingine wadumu katika maombi.
Ametoa mwito kwa Serikali kulitafutia ufumbuzi tatizo hili kwa kuwa jamii nyingi zinaishi kwa mashaka
Tuesday, October 16, 2012
THE OLD ZINGIZIWA
Same old houses that are found in Zingiziwa Village, People are stil living in those houses,those houses shows the old lifestyle Zingiziwa people used to leave.
Nyumba za asili zilizopo katika kijiji cha zingiziwa, Lisha ya nyumba hizo kua zazamani bado watu
wa naendelea kuishi kakatika nyumba hizo. Na watu waishio zingiziwa kufuga mifugo, hebu tembelea kijiji
hiki cha zingiziwa uta furahi sana.
Bado unaendelea kuangalia picha za kijiji cha zingiziwa, hapo zamani nyumba hizo bado watu wengine wanaishi kakata nyumba hizo, hizo nyumba ni kivutio kikubwa sana kwa wangeni wanaotembelea kijiji chetu zazingiwa, kuna vitu vingi ambavo vipo katika kijiji chetu.
Mazingira ni mazuri sana, katika zingiziwa village, kuna upepo nzuri sana
Zingiziwa Village needs much deveploment .
You are all welcom to Zingiziwa Village
MWENYEKITI WA SERIKARI ZA MTAA-ZINGIZIWA AKIWA NA MJUMBE WAKE WAKIKAGUA HIIFADHI YA WA NYAMA
MWENYEKITI WA SERIKARI ZA MTAA ZINGIZIWA MOHAMED KILUNGI AKIKAGUA HIFADHI YA WA NYAMA PORI AMBAYO INATARAJIWA KUFUNGULIWA HIVI KARIBUNI
AKIZUNGUMUZA NA WAANDICHI WA HABARI WALIWO TEMBELEA HIFADHI HIO ALIKEMEA BAHADHI YA WATU WENYE TABIA YA KUKATA MITI NDANI YA HIFADHI. ALISEMA HATASITA KUWASHUKULIA HATUA ZAKISHERIA AMBAO WATAPATIKANA WAKIKATA MITI AU KUFUGA NDANI YA HIFADHI HIO.
ZAHANATI YA ZINGIZIWA
MBANGO LINALO ONESHA ZAHANATI YA ZINGIZIWA
ZINGIZIWA DISPENSARY
SAME OF THE BUILDINGS OF ZINGIZIWA DISPENSARY ABOUT 20 PEOPLE ARE ATTENDED EACH AND EVERY DAY
JUST SEE ZINGIZIWA DISPENSARY -NO EVEN HAVING A CAR
Subscribe to:
Posts (Atom)