Saturday, October 27, 2012

MAJAMBAZI WAVAMIA KIJIJI CHA ZINGIZIWA

Majambazi wanaosadikia kua na sila za moto walivamia kijiji caha Zingiziwa kilichopo Chanika jijini dar es salaam tanzania majambazi hao walipola fedha na vitu khadha, kwamujibu wa mwenyekiti wa serikari za mitaa Ndugu Mohamedi Hassani Kilungi akizungumuza na wandishi wahabari kijijini humo alisema majambazi hao wa limupiga lisasi mtu moja, nakuwajehuri wengine wa wili kwakuwakata na mapanga.

Hata hivo Kilungi alishukuru jeshi lapolisi kwa kukufika mapema kwenye tukio ata kama majambazi hao hawakupatikana, na bado polisi wanaendelea na musako mkali kwakushilikiana na wana kijiji hao pamoja na polisi jami. 

Mwenyekiti huo ali wasihi wana kijiji kuwa na mushikamano na kuwatambulisha wageni wote katika wajumbe wa nyumba kumi pia na kwasilikali za mitaa