Tuesday, December 4, 2012

VIONGOZI WA SELIKALI YA MTAA-ZINGIZIWA

Badhi ya viongozi wa selikari ya mtaa -ZINGIZIWA
wakipiga picha ya pamoja inje ya ofisi yao katika maandalizi ya mwaka mpya

Viwongozi wa Selikari ya mtaa -ZINGIZIWA wakiwa katika semina elekezi ya kuchangia utowaji wa maoni ya katiba mpya-Ikiongozwa na Mwenyekiti Wawo Mh: Mohammad Kilungi.

Wajumbe  wa Selikari ya mtaa -ZINGIZIWA  wakipitia katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania, khabla ya utowaji wa maoni utakaofanyika tarehe 11/12/2012.

Mwenyekiti wa Selikari ya mtaa -ZINGIZIWA
Akifafanua jambo  kwenye semia elekezi yautowaji wa maoni undwaji wakatiba mpya semina hiyo elekezi ilifanyia kwenye ofisi ya mtaa-Zingiziwa.

Baada semina kuisha wajumbe walionesha ishara ya mushika mano  akiwepo na Muganga Mufawidhi wa zahanati ya Zingiziwa mwenye fulana nyeusi